Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu.
Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi...
Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya...
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
Mamlaka ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesewahasa waandishi wa habari za Mtandaoni (digital online) kuhamasisha wananchi kujenga utamaduni wa kudai risiti pale wanapofanya manunuzi ili...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.