Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu.
Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi...
1. Mwenyekiti yupo kimya anaonekana kwenye makongamano tuu ya TCD na aina iyo. Hakuna kauli yoyote toka Kamati Kuu ikae
2. Makamu Mwenyekiti anafanya mikutano peke yake (sio kitaasisi) huku...
Kwa upekee kabisa nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa JF kwa kutuletea jukwaa hili.
Nirudi kwenye mada tajwa hapo juu kuhusu Serikali kutoa mkopo kwa wahitimu wa vyuo vikuu...
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno!
MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI!
1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu
2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha...
Mazingira ni kitu Chochote kinacho mzunguka mwanadamu mfano mito milima na mabonde,bahari,misitu n vitu vingi sana vingi. Ila katika hayo mazingira pia yako mazingira ya kubuni n yako mazingira ya...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.