Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili suala liko wazi kabisa. 100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete. Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia...
3 Reactions
6 Replies
117 Views
Habarini, Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc. Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba...
11 Reactions
56 Replies
784 Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
20 Reactions
329 Replies
5K Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
22 Reactions
1K Replies
26K Views
Tunakushukuru kwa kumpa kadi moja ya njano Dickson job baada ya kufanya rafu Kali mbili kwa kipre na Fei,😀 Tunakushukuru kwa kumuacha aucho baaf rafu mbili pia na Ibrahim baka ambaye mwishowe...
1 Reactions
11 Replies
138 Views
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu...
0 Reactions
1 Replies
20 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
2 Reactions
133 Replies
2K Views
Kwa wale wasio jua, Mlima Kilimanjaro ndio Mlima mrefu kupita yote duniani. Kwa wale walio karirishwa la saba b watasema " Mlima Himalaya/Everest ndio Mlima mrefu kupita yote duniani" Ni hivi...
22 Reactions
52 Replies
6K Views
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo. This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
52 Reactions
187 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,628
Posts
49,782,109
Back
Top Bottom