Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
21 Reactions
892 Replies
19K Views
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
12 Reactions
72 Replies
2K Views
EPISODE 01, SEASON 01 Wakuu nahitaji ushauri wenu ili niweze kufaulu katika huu mtihani, nimepewa kazi kubwa ambayo nikifaulu basi milango mingi itafunguka huko mbeleni. Kuna Mzee flani huwa...
98 Reactions
4K Replies
691K Views
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba Ni nadra sana...
10 Reactions
25 Replies
323 Views
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
22 Reactions
144 Replies
3K Views
Make China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi. Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
4 Reactions
270 Replies
63K Views
Kwa wapenzi was kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav? Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kwanza...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha...
6 Reactions
28 Replies
767 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,616
Posts
49,781,613
Back
Top Bottom