Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu. Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
3 Reactions
89 Replies
366 Views
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo. This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
50 Reactions
176 Replies
5K Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamuwa waumini michango hadi wanachukia dini.Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
2 Reactions
9 Replies
95 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
6 Reactions
92 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri, Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah...
3 Reactions
71 Replies
1K Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
2 Reactions
16 Replies
207 Views
Habarini, Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc. Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba...
8 Reactions
28 Replies
377 Views
DIZASTA NI MDOGO WA DAMU WA KING CRAZY GK ALIYECHAGUA KURAFIKIANA NA PROFESSOR JAY NA MR EBBO KATIKA MAKUZI YAKE. 1. Wawili hawa wana asili ya mkoa wa Mbeya lakini wamesikika zaidi wakiwakilisha...
6 Reactions
20 Replies
842 Views
With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority. ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo...
10 Reactions
51 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,492
Posts
49,777,245
Back
Top Bottom