Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)
Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam
Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili...
Kwema wakuu,
Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na Umakini Mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Wasalaam.
Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.