Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tujivunze kiswahili fasaha vinginevyo tutapotosha maana halisi ya ulicho kusudia. wenye matatizo ya kushindwa kutofautisha herufi "l" na "r" mnatukere.
2 Reactions
5 Replies
111 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
0 Reactions
39 Replies
889 Views
INTRODUCTON: Shalom!! Nawakaribisha tena Mbinguni, Mbinguni ndiko tulikokuwako milele kabla ya Mungu kutuleta duniani kupitia pumzi ya uhai Kwa baba na mama zetu wa duniani. Mbinguni ni wapi...
12 Reactions
195 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
19 Reactions
116 Replies
960 Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigullu anesema hatavumilia kuona Wafanyabiashara ndogo ndogo wanalipa Kodi huku kukiwa na matajiri kibao walioshindwa Kesi kwenye Mahakama za Kodi lakini hawajalipa Dkt...
1 Reactions
10 Replies
177 Views
Naitwa Rama Pepe naishi dar natafuta kazi ya kuedit na kushuti muvi mimi ni Editor na pia ni Cinematography mwenye uzoefu wa miaka 7 nafanya kazi mahali popote napatikana kwa namba 0699524998 Na...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
29 Reactions
152 Replies
3K Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
37 Reactions
325 Replies
5K Views
Inasikitisha imefika wakati hata watu wenye akili zao hawahoji chochote hata mikataba ya miaka 30 au isiyo na kikomo. Mpaka leo mkataba wa DP world ni wa siri hakuna tender yeyote iliyotangazwa...
0 Reactions
4 Replies
98 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,376
Posts
49,773,154
Back
Top Bottom