Wanakumbi.
BREAKING:
🇺🇸🇮🇱 Biden:
"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."
Ramani ya njia ya usitishaji...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza Makazi wa jijini Arusha ajulikanae kwa jina la Respis Brasius ambaye amekiri...
Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa...
MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi...
Shimo la mvuto liko katikati ya bahari kilomita 1,200 kusini-magharibi mwa Kanyakumari (a.k.a. Cape Comorin), ncha ya kusini kabisa ya bara Hindi karibu na Sri Lanka.
Bahari ya Hindi Geoid Low...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.