Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila. Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio. Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya. Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
2 Reactions
37 Replies
770 Views
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) imeweka kigingi na kukataa kuidhinisha makubaliano ambayo yalifikiwa baina ya Timu ya Majadiliano ya Serikali na Wawekezaji wa Mradi wa uwekezaji wa...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Wakuu nilikuwa naomba kusaidiwa kwa wale wenye uzoefu. Wote tunafahamu kuwa selection za kidato Cha tano zimetoka; ila nilikuwa nataka kuichukua uhamisho kwa mwanangu. Kila nikimpigia Mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Gym trainers siyo poa yaani.
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa...
2 Reactions
18 Replies
463 Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Habari, Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya...
5 Reactions
4 Replies
66 Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
6 Reactions
64 Replies
637 Views
FUMBO MFUMBIE MJINGA LUKA 17:20-21 Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
2 Reactions
10 Replies
161 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,267
Posts
49,769,669
Back
Top Bottom