Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za muda wanajamii... Hii nyuzi ni kwaajili ya kuomba ushauri na mahususi tu kwa wataalamu wakunishauri mapenzi.. Kama wewe ni Willy Osomba Onana, usijichoshe kukoment. Kuna mtoto flani hv...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani...
4 Reactions
76 Replies
527 Views
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
15 Reactions
104 Replies
2K Views
1: Sos B - Kukuru kakara. sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania. 2: Picko - Kikongwe (RIP) 3: JI -Kidato kimoja...
1 Reactions
7 Replies
69 Views
Habari wakuu naombeni msaada wenu. Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea...
2 Reactions
22 Replies
214 Views
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Wabunge yameonesha Chama tawala cha African National Congress (ANC) kina dalili za kupoteza wingi wa Viti Bungeni kwa mara ya kwanza tangu kiingie Madarakani Miaka...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa. Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima...
1 Reactions
5 Replies
115 Views
Ikiwa haujiwezi darasani utaambiwa huyu HANA AKILI lakini unashangaa mtu huyuhuyu anayeaminika kukosa akili darasani unakuta huko nje ya darasa ni msanii mzuri au ni mcheza mpira mzuri tena wa...
1 Reactions
4 Replies
31 Views
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa. Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea...
5 Reactions
24 Replies
297 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
9 Reactions
63 Replies
718 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,301
Posts
49,771,144
Back
Top Bottom