Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila. Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio. Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya. Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
1 Reactions
23 Replies
200 Views
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mh Doto Biteko amesema wakati anaingia kwenye wizara hiyo alikuta kila mara mafuta kuadimika na kusababisha usumbufu na foleni kubwa kwenye vituo...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wanaposikia soko la hisa, huwa wanadhani ni kitu kikubwa na kigumu sana ambacho hakiwahusu wala hawawezi kukielewa. Lakini huo siyo ukweli, soko la hisa ni kitu...
3 Reactions
10 Replies
247 Views
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
60 Reactions
89 Replies
2K Views
Nauliza Tu maana kumekuwa na maneno maneno Mengi sana hasa Kwenye hizi PhD za darasani na zile za Heshima Wewe graduate hiyo degree ni Yako au Umebeba kichwani kichip Cha Chuo husika? Nimekaa...
2 Reactions
11 Replies
136 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Za Asubui wakuu, Kuna NGO nyingine unaweza kuzidhania wapo serious kumbe sio. Niliapply kazi kwa Australian based organization. Wakani shortlist, after one week nkapiga first interview,,,then...
0 Reactions
8 Replies
95 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
15 Reactions
205 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa bavicha na mgombea kiti cha uenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria John Pambalu amemtuhumu mshindani wake bwana H Wenje kuwa alihonga wajumbe na pia alisafirisha wajumbe kutoka mikoa...
2 Reactions
28 Replies
642 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,195
Posts
49,767,889
Back
Top Bottom