Nauliza Tu maana kumekuwa na maneno maneno Mengi sana hasa Kwenye hizi PhD za darasani na zile za Heshima
Wewe graduate hiyo degree ni Yako au Umebeba kichwani kichip Cha Chuo husika?
Nimekaa...
Uchunguzi : Wakati Serikali ikikuza sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la ajira nchini, ukuaji wa sekta hiyo umechangia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa ajira za muda na za kudumu. Ajira hizi...
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
Kulitokea Wizi wakati wa Majira ya Barafu, ila kila
Mmoja alisema hakutoka Nyumbani siku ya tukio.
Ukiangalia picha hii kuna mmoja anadanganya.
Unadhani ni nani huyo anaedanganya kati ya hawa wanne?
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki...
Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.