Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
haya kama unataka simu ya iphone, njoo uchukue hii 150k tu nakuachia iPhone 6s Storage 32gb Battery 🔋 💯 Bei 150k Piga 0697224996
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na...
2 Reactions
47 Replies
536 Views
Nilimuonya hivi hivi Marehemu Ngumi Jiwe akadhani natanania na kilichomtokea sasa anakijua huko aliko Udongoni.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana...
0 Reactions
3 Replies
284 Views
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
8 Reactions
34 Replies
498 Views
Niaje wazee,nkaona Acha ni share na nyie hiki kideo Maana kuna matukio mengine mpaka yanachekesha,inasemekana jamaa hawa walikuwa wanadinyana kwenye eneo la jeshi ndiyo wakakutwa,naona wakapewa...
6 Reactions
11 Replies
340 Views
Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke anayetuhumiwa kula njama na kushiriki kumuua mumewe ili akaolewe na mwanaume mwingine kwa madai ya kutangaza dau kwa atakayetekeleza mauaji hayo kwa...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
12 Reactions
143 Replies
4K Views
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
12 Reactions
75 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,595
Posts
49,861,481
Back
Top Bottom