Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa...
1 Reactions
7 Replies
8 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
22 Reactions
121 Replies
1K Views
Ifikapo 2050 Tanzania itakua na watu 150M watu wengi hasa wazee watakua wanaishi chini ya mstari wa umaskini. Hawa vijana wanaoshinda kucheza kamari ,bodaboda ndo wazee wa2050 sidhani kama...
0 Reactions
3 Replies
16 Views
Reputable JF Members The trend of political heat in TZ is unwelcome towards the forthcoming duo election contests from grassroots to the think tank cerebrum tube referencing the current exchange...
1 Reactions
3 Replies
41 Views
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra! Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
10 Reactions
51 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Phone4Sale iPhone 13 Pro
Iphone 13 pro . Used Uk. In very good condition Gb 128 Bh 84. TT✅ 1.5ml only. Comes with a box. Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only. 0752850081 0783869998 Nipo DSM Ubungo.
1 Reactions
16 Replies
142 Views
Habari, Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo Zanzibar. Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
1 Reactions
16 Replies
153 Views
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti) Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi swali...
3 Reactions
32 Replies
797 Views
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
6 Reactions
44 Replies
264 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,723
Posts
49,864,493
Back
Top Bottom