Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna video nimeiona kwenye ukurasa wa Twitter wa Maulidi Kitenge ikimuonesha Rais wa Nigeria Mheshimiwa Tinubu akianguka chini wakati akitaka kupanda gari. ambapo ni kama...
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo.
Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo...
KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa...
Wasalaam.
Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho.
Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo...
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.