Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari. Kinembe siku ya kumtoa kwaajili ya ibada na Maziko. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda kutwa nzima hapo...
hii aibu na uchafu wa kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile, ambalo pia ni kosa kisheria, inachochewa na nini hasa ndrugo zango?
ni nini inasababisha kushamiri kwa hali hii?
mbona sielwi...
Habari za Uzima Ndugu zangu.
Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye Umri wa Miaka 26 Nina Usikivu Hafifu. Hali hii imenifanya Nakosa Kazi / Mishe.
Juzi Niliitwa kwenye Usaili Kwenye Kampuni Ya Ulinzi Ya...
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.
Hii ni strategy...
Kada wa CCM na msanii mkongwe nchini afande Sele amesema UVCCM ni Janga la Taifa
Afande amesema Wakati Rais Samia mwenyewe ameonyesha ukomavu wa kisiasa wa kukabiliana na kila lililo mbele yake...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Kimsingi, serikali haiamin uchawi,, lakini wanachi tuna imani tofauti tofauti ,, kwa wakristo na waislamu,, vitabu vinadhihirisha wazi uwepo wa uchawi, na wachawi wamekuwa wakiloga watu kwa mbinu...
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao...
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweupe
Umri
Kuanzia miaka 20-27
Dini
Mkristo (Msabato)
Kabila
Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe.
Elimu
Diploma/ Degree
SIFA ZANGU
Mwonekano
1. Mrefu
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.