Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu. Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
7 Reactions
69 Replies
1K Views
Ni zuri sana kama unavoliona, rangi original 230k tu nakuachia 0697224996
2 Reactions
21 Replies
297 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
12 Reactions
143 Replies
4K Views
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
3 Reactions
21 Replies
455 Views
Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3 Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Niaje wazee, nikaona Acha ni share na nyie hiki kideo Maana kuna matukio mengine mpaka yanachekesha, inasemekana jamaa hawa walikuwa wanadinyana kwenye eneo la Jeshi ndiyo wakakutwa, naona...
10 Reactions
27 Replies
753 Views
Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza. Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu...
5 Reactions
24 Replies
238 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
12 Reactions
48 Replies
290 Views
Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui...
1 Reactions
5 Replies
86 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
554 Replies
42K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,632
Posts
49,861,984
Back
Top Bottom