Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
1 Reactions
5 Replies
64 Views
Usiku hapa niko na hasira kama zote. Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu. Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
3 Reactions
31 Replies
410 Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
26 Reactions
48 Replies
1K Views
Nchi ya Senegal imeanza uzalishaji wa Mafuta ghafi Kwa mara ya kwanza ambapo itaanza na mapipa 100,000 Kwa siku Kupitia Kampuni ya Australia. Visima vya Mafuta vilivyopo ndani ya Bahati(kama gesi...
0 Reactions
5 Replies
41 Views
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu...
0 Reactions
24 Replies
727 Views
Habari zenu, Nina mtoto wa kike ambaye kesho, tarehe 13/06/24, anafikisha miaka 11 kamili (Happy birthday in advance my daughter). Mtoto alizaliwa vizuri ingawa alikunywa maji machafu baada ya...
3 Reactions
9 Replies
179 Views
TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW' Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen...
24 Reactions
46 Replies
6K Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
53 Reactions
383 Replies
5K Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
26 Reactions
174 Replies
5K Views
Vijana wengi wa kitanzania wasomi na wasio wasomi wengi wao wamekuwa wakilalamika aina ya maisha ya sasa yalivyo magumu kwako. je sababu ni serikali kutowawekea mazingira wezeshi au ni kubweteka...
2 Reactions
16 Replies
238 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,806
Posts
49,866,533
Back
Top Bottom