Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi...
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha...
Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza.
Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu...
Nimemis sana maneno matamu ya Tata nyamteki rafiki yangu Na rafiki wa baba yangu Tata Cyprian musiba mlio karibu nae muambieni mwizugukuru mgikuru amekumis Na amekukumbuka sana..
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi
Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.