Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na...
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
Hii ni kwa wanaume wote, tukae mguu sawa.
Je, hii kitu inaitwa limbwata ipo kweli ama ni mental cases tu zinasumbua watu? Kama lipo la mkoa gani ndo kali?
Unadhani kama ipo tunachomoanaje humo...
Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na kushika nafasi ya pili nyuma ya Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa Jimbo la Kwahani Unguja (Zanzibar), Shara Amran...
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000
Source: Swahili Times
Mlale Unono 😃😃
=========
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli...
Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
Tembo wamekuwa changamoto kubwa sana kwa Wilaya hiyo kuhatarisha maisha ya watu.
Hivi sasa ni takibani mwaka wa tatu, tembo wamekuwa changamoto kwao wakisababisha upotevu wa maisha kwa watu kila...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
TAIFA STAR'S IMEBEBWA NA YANGA
Ubora huu wa timu yetu ya taifa umeletwa na Yanga, kwa sasa taifa Stars wachezaji wanacheza kwa kujiamini hususani mabeki,
kujiamini kwa wachezaji wetu wa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.