Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wadau Hivi mtoto akipenda kuchezea na kukalia ungo ni ishara gani? Serious answer please
2 Reactions
47 Replies
649 Views
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani. Hii ni strategy...
11 Reactions
33 Replies
935 Views
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
3 Reactions
39 Replies
314 Views
Rais Bola Tinubu wa Nigeria alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles. Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Nchi ya Senegal imeanza uzalishaji wa Mafuta ghafi Kwa mara ya kwanza ambapo itaanza na mapipa 100,000 Kwa siku Kupitia Kampuni ya Australia. Visima vya Mafuta vilivyopo ndani ya Bahati(kama gesi...
0 Reactions
17 Replies
159 Views
Please naomba soma uzi huu uku unamuangalia mwanao kama una mtoto. Polen na majukumu uzi wangu huu unalenga kujaribu kuona kama Tunaweza jikomboa hata kwa fikra basi Dhumuni la mm kutaka wewe...
2 Reactions
5 Replies
148 Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
31 Reactions
60 Replies
2K Views
Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia ✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania...
8 Reactions
14 Replies
462 Views
Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi. 1. Maofisini. 2. Vyuoni. Viongozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
6 Reactions
72 Replies
1K Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
616 Replies
43K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,813
Posts
49,866,789
Back
Top Bottom