Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
17 Reactions
90 Replies
2K Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
13 Reactions
61 Replies
1K Views
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
6 Reactions
43 Replies
614 Views
Habari wakuu Naomba kujuzwa kwa mtu aliye mbezi beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala . Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
0 Reactions
1 Replies
10 Views
... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘 "Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la...
2 Reactions
9 Replies
400 Views
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita. Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini...
0 Reactions
8 Replies
47 Views
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houth wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili...
4 Reactions
34 Replies
677 Views
Unaweza usielewe kichwa cha habari lakini pindi utakaposoma mpaka mwisho utaelewa hivyo nakusihi usome mpaka mwisho. Katika chombo chochote kinachoitwa cha moto injini ni Moyo wa chombo hicho...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo zanzibar. Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
1 Reactions
13 Replies
92 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,677
Posts
49,863,290
Back
Top Bottom