Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
Bila kupepesa macho, niwaambie hawa wanawake / wamama wenye tabia za kuficha watoto wao wakike baba zao mwache hiyo tabia kwani mnawaathiri sana kisaikolojia.
Hata kama hukumpenda mwanaume ulie...
Wakuu mnisamehe,ukweli NI kwamba Mimi NI mgumu Sana kuamini maneno ya watu hasa kuhusu uzushi Fulani.
Kilichonileta hApa NI kuwa nilikuwa nabishana Sana na washkaji zangu kijiweni kuhusu wadada...
Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu.
Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day)
Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya...
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houth wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili...
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National...
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.