DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Wanaukumbi.
🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.
Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi
Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
Lastweek nilikua na mgeni wangu kutoka South Africa, tulikua kwenye spot moja maarufu tu hapa dar.
Tulipokua pale walikuja vijana watano, wawili wakike na watatu walikua wakiume lkn wanaonekana...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
MANGUNGU [emoji119]: KWA MASLAHI MAPANA YA KLABU YETU,NITATOA PESA ZA USAJILI.
Pesa za usajili Nitatoa mwenyewe Kwa kushirikiana na Wanachama na wapenzi wa Simba, Sasa nipo kutafuta mkurugenzi wa...
Kwanini! Tusahau NI kwasababu pesa hiyo inaingia kwenye mikono ya watu na si kwa ajiri ya ujenzi kama tunavyoaminishwa
- Awali nilishasema kwamba ujenzi wa sgr kwa mikoa ya kanda ya ziwa...
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.