Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa.... Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
5 Reactions
39 Replies
728 Views
Usiku hapa niko na hasira kama zote. Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu. Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
3 Reactions
32 Replies
410 Views
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
7 Reactions
77 Replies
1K Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
27 Reactions
175 Replies
5K Views
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo...
3 Reactions
44 Replies
496 Views
Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi. 1. Maofisini. 2. Vyuoni. Viongozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
4 Reactions
52 Replies
887 Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
26 Reactions
49 Replies
1K Views
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
1 Reactions
8 Replies
64 Views
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi . Lakini pesa hii haikai kabisa, yaan hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shngp kama pesa ya...
1 Reactions
22 Replies
320 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,806
Posts
49,866,533
Back
Top Bottom