Hali zenu, #SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikoloji...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wanajukwaa.
In short niseme tu umaskin ni janga kwelikweli unavyoona CCM inaendelea kutawala leo ni kwa sababu ya umasikini tulionao, mimi huwa naamini mtu akiwa na Maisha sio ya kitajiri...
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo...
Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel...
Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha Maili Moja Karibu na Nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili, moja Ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina...
MANGUNGU [emoji119]: KWA MASLAHI MAPANA YA KLABU YETU,NITATOA PESA ZA USAJILI.
Pesa za usajili Nitatoa mwenyewe Kwa kushirikiana na Wanachama na wapenzi wa Simba, Sasa nipo kutafuta mkurugenzi wa...
Niaje wazee, nikaona Acha ni share na nyie hiki kideo
Maana kuna matukio mengine mpaka yanachekesha, inasemekana jamaa hawa walikuwa wanadinyana kwenye eneo la Jeshi ndiyo wakakutwa, naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.