Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city
Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi,
Hii timu...
FUNDI TV AINA ZOTE NA TUNAFANYA NA HOME SERVICE:
JE -Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande...
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.
Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe ...
Rais Magufuli anafungua kiwanda cha ngozi kinachomilikiwa na tajiri maarufu nchini Dr Rostam Aziz Kihonda mkoani Morogoro.
Tukio liko mubashara TBC Channel ten na ITV
Up dates;
Rais Magufuli...
Nina HDD 1tb nimeongeza na 128gb SSD kwa ajili ya Windows na system ili kuwezesha PC kuwaka haraka na kweli mabadiliko nayaona PC inawaka haraka na inakuwa tayari kwa matumizi bila ya kuirefresh...
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo...
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi .
Lakini pesa hii haikai kabisa, yaan hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shngp kama pesa ya...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kada wa CCM na msanii mkongwe nchini afande Sele amesema UVCCM ni Janga la Taifa
Afande amesema Wakati Rais Samia mwenyewe ameonyesha ukomavu wa kisiasa wa kukabiliana na kila lililo mbele yake...
Wewe je?
Kumbukumbu zako zimeanzia ukiwa na umri gani au tukuache kwanza?
Wakuu msiwachukulie poa hawa madogo na msitende mambo hasi mbele yao ukidhani wanasahau mapema kuna umri ukifika mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.