Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM...
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha...
Mtu anakuja kwako ana onyesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, connection, uwepo wako, n.k.
yawezekana hata wewe haupo vizuri kifedha, umebanwa na ratiba, kupata connection ni...
Niaje wazee, nikaona Acha ni share na nyie hiki kideo
Maana kuna matukio mengine mpaka yanachekesha, inasemekana jamaa hawa walikuwa wanadinyana kwenye eneo la Jeshi ndiyo wakakutwa, naona...
Muda sio mrefu nimetoka julwaa la love connect nimeshtushwa sana kuona watu wanavyowaponda watu ambao wanatafuta wachumba/ wake
Wengine wanatumia mwavuli eti wanafanya utani na masihara kiukweli...
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.