Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
1 Reactions
21 Replies
224 Views
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
14 Reactions
64 Replies
2K Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
7 Reactions
64 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
16 Reactions
92 Replies
1K Views
I will be short. rules after wealth 1. Utajiri bila watu ni useless. (power) Mo leo hii anakutana na raisi wa FIFA na CAF easily kisa simba, Easy business due to simba. Anafatiliwa in social...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
1. 2024 ASUS ROG Zephyrus G16 GU605MI-G16.U94070 Intel Core Ultra 9 185H 16GB RAM 1TB NVMe SSD NVIDIA GeForce RTX 4070 16" 240Hz OLED 6.1m 2. LENOVO LEGION PRO 5 16IRX8 1TB SSD 32GB RAM CORE...
1 Reactions
18 Replies
287 Views
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe. Then unakuwa attracted na this type of a guy na...
32 Reactions
206 Replies
13K Views
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X Pia itakumbukwa Starlink...
8 Reactions
36 Replies
658 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Habari za muda huu wapendwa? Jamani niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna binti mmoja wife alimleta hapa home kwa madhumuni ya kufanya kazi yaani house girl. Basi siku ya kwanza alipofika...
8 Reactions
101 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,423
Posts
49,857,376
Back
Top Bottom