Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
0 Reactions
8 Replies
156 Views
Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote. Kilichonileta...
3 Reactions
59 Replies
1K Views
Kwa documenta zilizofichuka wiki hii imegundulika kuwa kumbe Biggie alikuwa ana plan aachane na Bad Boy Records. Pia kwa taarifa za watu wa karibu ni kuwa Pac nae alikuwa anataka atoe album ya...
3 Reactions
10 Replies
402 Views
Yule mzee Dr Shein na mkewe kwa kweli ni Viongozi wa mfano hasa kwetu Watanganyika tusiojua maana ya kustaafu Yaani fikiria huku Tanganyika Waziri mkuu mstaafu anaenda Kuwa Mwenyekiti wa Kanda...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma. --- Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Zipo fununu kwamba kuna mpango wa kujenga barabara ya kibaguzi ya mabasi ya mwendokasi kutoka mjini kuelekea Mbagala , yanayotokea kwenye ruti ya Mbezi -Kimara - Kariakoo, ya wajawazito...
19 Reactions
127 Replies
15K Views
Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania...
3 Reactions
36 Replies
883 Views
Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekuwa ikinitokea kama wiki 1 sasa! Nimekuwa nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed...
2 Reactions
189 Replies
15K Views
UTANGULIZI Hadithi hii ilipigwa chapa kwa lugha ya Kiingereza katika mwaka 1885. Katika mwaka 1905 Bwana H. Rider Haggard aliandika maneno haya: 'Sasa katika mwaka 1905 naweza kuzidisha maneno...
23 Reactions
349 Replies
77K Views
Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wanaposikia soko la hisa, huwa wanadhani ni kitu kikubwa na kigumu sana ambacho hakiwahusu wala hawawezi kukielewa. Lakini huo siyo ukweli, soko la hisa ni kitu...
3 Reactions
9 Replies
214 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,066
Posts
49,764,341
Back
Top Bottom