Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
16 Reactions
194 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake...
12 Reactions
56 Replies
570 Views
Kuanzia kwa Mwinyi mpaka aliyepita Shein, sifa kubwa iliyowawezesha kuuwezea Urais wa JMT ni cha kwanza walikuwa humble na hawakuwa na skendo chafu chafu. Kimsingi ili Rais kutoka visiwani aweze...
1 Reactions
4 Replies
158 Views
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu. Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na...
2 Reactions
13 Replies
221 Views
Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea. Kila wakati mitandaoni tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi. Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure...
7 Reactions
36 Replies
684 Views
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia...
4 Reactions
68 Replies
883 Views
kwa Tanzania bacca mna tunacho mdai. he is very good. naona next season yanga wampe uhuru akacheze ulaya. hata trial tu. wasting his potential at yanga. huyu hata Manchester United anapita.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura. Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
3 Reactions
31 Replies
911 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,402
Posts
49,857,171
Back
Top Bottom