Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaume msiogope kuzaa nje, pengine huyo umezaa nje ndio atakusaidia. Msaidie huyo mtoto. Hawa watoto umezaa nyumbani wanaweza kukugeuka lakini ule ulizaa nje akusaidie. Chanzo: Global TV Kenya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake . Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa...
1 Reactions
1 Replies
33 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
49 Reactions
356 Replies
5K Views
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia...
3 Reactions
32 Replies
320 Views
Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?. na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Viongozi wa dini waiomba serikali kuufungia mtandao wa kijamii wa Twitter ( X ) nchini kwani mtandao huo umeonekana ukivunja maadili na taratibu za nchi kwa kuhamasisha ushoga na usagaji...
0 Reactions
14 Replies
107 Views
MSAMIATI UNAOTUMIKA KUMAANISHA ‘KUJAMBA’ AU ‘KUTOA USHUZI’ NI: 1. Fart: Hili ndio neno linalotumika sana. Huweza kutumika kwenye mazingira rasmi na yasiyo rasmi (Formal and Informal settings)...
0 Reactions
6 Replies
40 Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
66 Reactions
221 Replies
6K Views
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
18 Reactions
232 Replies
2K Views
Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu. Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day) Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya...
31 Reactions
232 Replies
14K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,377
Posts
49,855,932
Back
Top Bottom