Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu.
Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
UPDATES : Friday 31st
Leo nimeenda ofice za UTT hapa mwanza.
Kwa maelekezo mdau alinielekeza zipo JB BELMONT...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa hizi kauli kwamba Mitandao wa Twitter X ifungiwe, nikudhihirisha ccm hawana uwezo wa hoja tena. Kwanamna ccm ilivyo, sio chama cha siasa tena bali Genge la Wahuni tu. Pauline Gekul alitia mtu...
Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe.
Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni...
Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni,
Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni.
Vyuoni imekuwa sehemu...
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.
Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??
Lakini pia Kuna jambo...
Wanaukumbi.
🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.
Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.