Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Mnatuonaje Watanzania...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa...
Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe.
Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Kupata ufafanuzi mkubwa wa kila njia, nunua kozi hii: Kuza Kipato Mtandaoni: Jinsi ya kutengeneza pesa na kukuza Biashara yako mtandaoni – Swahili Sphere
1. Online Marketing Research
- Utafiti...
Habari wanajamii forums,
Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).
Hivyo kwa wanaopenda...
Kinachoendelea Ufaransa,
kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.