Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko!
Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa?
Karibuni tujadili utani!
Wadau hamjamboni nyote?
Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango
Taarifa kamili hapo chini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Tunamtakia Kila la heri Rais Samia kwenye ziara hiyo ya mdau Wetu muhimu wa Maendeleo Korea Kusini.
Ikiwezeoana Awapatanishe Kim wa North Korea na South Korea.
Mwanadiplomasia namba 1 na...
Raisi Biden Ana msimamo wa wastani kuhusu suala la Palestine.
Trump ni tofauti kabisa. Yeye ni pro Israel na Netanyahu kindakindaki.
Kwa hivyo akishinda uchaguzi, Hali ya Palestine itakuwa...
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.
Kingereza cha wakili huyo ni sawa na...
Wiki 2 na siku 5 zilizopita nimetoka kuuza mechi( yani kupiga kavu) na demu ambae tunajuana kwa muda mrefu.. balaa likaja baada ya kupita wiki 1 na siku kazaa nilipata mafua makali lakini yakakata...
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
SIMBA imemaliza msimu ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara nafasi ambayo ilimaliza nayo msimu uliopita.
Kwenye Ligi Kuu hayo siyo mafanikio makubwa kwa kuwa matarajio yao yalikuwa...
Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome.
Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.