Bojour wazeeee!
Watu wengine makomwe sana.
Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati...
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya...
Siasa na utumishi wa uma ni vitu viwili tofauti. Utumishi wa umma ili uwe bora basi jukumu la kutenganisha taaluma za kisiasa na taaluma za mambo ya utumishi wa umma ni muhimu. Tanzania...
Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Natoa wito Kwa Wabunge kumuwajibisha Waziri Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa TanRoads walisainiana Mikataba hewa na wakandarasi wa kichina na Sasa mwaka umepita Serikali inasema inaendelea na...
Wasalaam Jf team.
Tangu Paul Makonda achaguliwe kuongoza Mkoa wa kila siku ni madudu madudu maduu,
Tanzania Ina jumla ya mikoa 32 na Wizara zaidi ya 17 Majimbo zaidi 264 Wilaya zaidi ya 139...
WANAWAKE WANAOANGUKIA KATIKA MIMBA NA MARADHI NA KUKIMBIWA HUWA WANAKUWA WAMEKOSEA HAPA
Na Comrade Ally Maftah
Kutokana na ongezeko kubwa la watoto wanaokosa malezi ya baba leo nina wiwa kutoa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.