Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya...
MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO.
1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini...
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.
Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na...
Wasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa...
Ukiangalia maongezi yake unaona kila mda anajitetea kuhusu mabilioni ambayo ukiweka MAGAZIJUTO ni kama chenga fulani.
Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu la sivyo tutajikuta timu ni...
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.