Habari wanajamii forums,
Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).
Hivyo kwa wanaopenda...
Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa.
Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa?
Ni mfumo wa maisha...
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia nactevet kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username ni...
Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja.... ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo..
Ukizingatia ni wale watu wa kubwatuka allah akbar...
Na sanidi andiko hili kwa masilahi sufufu ya ardhi hii ambayo ndio chimbuko la Chifu Mkwawa, asili ya Chifu Mirambo, alipozaliwa Chifu Kimweri na Mtemi Isike na ndio taifa liongozwalo na Chifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.