Wananchi wa Malela Twangoma mkabala na nyumba za NSSF wameamuliwa kuhamisha vitu vyao na kutafuta makazi sehemu nyingine ili kupisha zoezi za ubomoaji wa nyuza za wananchi waliokuwa wakiishi hayo...
https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam...
Habar ndugu zangu jamiiforums
.
Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei mara dufu .kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili...
Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa.
Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa?
Ni mfumo wa maisha...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Habari zenu wana Jf,
Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini.
Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh...
Dunia hii ya leo ya kibepari kila mtu anataka fedha ya mwenzake kwa njia yoyote ile.
• Nashangaa mtu anajifanya anagawa pesa za UNICEF anawatapeli watu.
• Nashangaa pale mtu anapojifanya rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.