Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TAMKO LA VIJANA WA ROMBO WAISHIO DAR ES SALAAM (VIWARO-DAR) Umoja wa vijana wa Rombo waishio Dar es salaam, Ni chama Huru cha vijana waliotokea wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro ambao wanaishi...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
8 Reactions
51 Replies
641 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
47 Reactions
345 Replies
5K Views
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
22 Reactions
152 Replies
3K Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
7 Reactions
350 Replies
10K Views
Mchezaji Wa zamani Wa Simba sc Dejan anaongoza katika kinyanganyiro Cha mfungaji Bora uko Serbia [emoji1212]. Na Hizi hapa ni Takwimu zake [emoji843]MECHI 38 [emoji843]MABAO 30...
5 Reactions
15 Replies
543 Views
Wale wenye new baby born kids au mnaotarajia, njooni mchukue kwa ajiri ya mtoto wenu. viko viwili (2) kila kimoja ni 140k + godoro bei ni fixed wakuu 0697224996
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,227
Posts
49,852,092
Back
Top Bottom