Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari, Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo...
2 Reactions
14 Replies
281 Views
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm Huko ni Burkina Faso. Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
28 Reactions
95 Replies
2K Views
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
31 Reactions
106 Replies
2K Views
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu , yani parachichi moja hapo ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
3 Reactions
32 Replies
510 Views
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia. Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida. Kivipi inampa faida.. Forex...
1 Reactions
14 Replies
111 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
-3 Reactions
106 Replies
933 Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
170 Reactions
202K Replies
12M Views
Wakuu, Miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuongoza kwa kutokea matukio ya Mauaji ya Wanawake Afrika ni kwenye gesti, hoteli na katika miaka ya hivi karibuni Air Bnbs Sasa, swali ni je? Wamiliki wa...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis...
48 Reactions
476 Replies
73K Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
12 Reactions
387 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,900
Posts
49,845,119
Back
Top Bottom