Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kwanini hizi nchi za bara la Asia zinagawa PhD za bure kwa viongozi wa kiafrika tu na si kutoka mabara mengine? Labda mawazo ya wengi nitapata fununu kichwa kipate kutulia
0 Reactions
4 Replies
49 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
8 Reactions
184 Replies
2K Views
Nashangaa sana na inashangaza sana Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!! Tulipohoji tumeambiwa sio pesa...
1 Reactions
6 Replies
53 Views
Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake...
3 Reactions
6 Replies
501 Views
Mnao kwenda ughaibuni nawapa muongozo usije kuwa marehemu huko. miaka 2004 katika utafutaji wangu wa kusafiri niliingia jiji chicago nikiwa maeneo ya northbrook. Kutokana na umiliki silaha kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni...
2 Reactions
6 Replies
34 Views
Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
85 Reactions
993 Replies
20K Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
117K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,818
Posts
49,842,440
Back
Top Bottom