Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu, Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume. Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
8 Reactions
41 Replies
564 Views
TAMKO LA VIJANA WA ROMBO WAISHIO DAR ES SALAAM (VIWARO-DAR) Umoja wa vijana wa Rombo waishio Dar es salaam, Ni chama Huru cha vijana waliotokea wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro ambao wanaishi...
0 Reactions
2 Replies
30 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
25 Reactions
83 Replies
1K Views
Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
85 Reactions
1K Replies
20K Views
Anayekuchukia mpe muda, anayejifanya anakupenda mpe muda pia, anayekudharau na kukuona huna maana wala hadhi nae mpe muda Maana muda ndio msema kweli wa wakati wote. #nguzabullet %
1 Reactions
2 Replies
56 Views
A
Anonymous (381e)
Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu. Kwa wapenzi wa Military jet fighters, nadhani tunakubali F-22 ndio the best hadi sasa. Hii chuma ni latest generation (5th generation) na tokea zianze kutengezwa Marekani 2010 na...
3 Reactions
6 Replies
110 Views
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
14 Reactions
44 Replies
1K Views
Mnao kwenda ughaibuni nawapa muongozo usije kuwa marehemu huko. miaka 2004 katika utafutaji wangu wa kusafiri niliingia jiji chicago nikiwa maeneo ya northbrook. Kutokana na umiliki silaha kuwa...
1 Reactions
13 Replies
122 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,823
Posts
49,842,521
Back
Top Bottom