Na Dada Fridah Nakazwe
1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Anayekuchukia mpe muda, anayejifanya anakupenda mpe muda pia, anayekudharau na kukuona huna maana wala hadhi nae mpe muda
Maana muda ndio msema kweli wa wakati wote.
#nguzabullet %
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi.
Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
Mathalani mmekubaliana na mtuma hicho kitu, kwamba anakutimia muda huo, halafu, ukiwa katika hali ya shauku, bashasha na hamu kubwa sana ya kupokea, kutazama na kuona ulichotumiwa, na halafu anae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.