Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sisi wengine tumeletwa duniani tu kujaza choo kama sio kuota jua.
0 Reactions
6 Replies
104 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
12 Reactions
402 Replies
7K Views
kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25...
0 Reactions
7 Replies
132 Views
Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya Ijumaa kuu. Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nina hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero...
13 Reactions
418 Replies
40K Views
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo. Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi...
5 Reactions
16 Replies
185 Views
Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka 23. Long may I reign.
12 Reactions
127 Replies
3K Views
Wakuu ni takribani wiki kadhaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu. Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo...
1 Reactions
13 Replies
298 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
10 Reactions
266 Replies
3K Views
Ndugu Engineer naona kaamua kumpa mpinzani Raila Odinga urais wa Taifa la Kenya badala ya William Ruto. Kalisema jina lake kwa utulivu na uhakika. Nawashauri wasiiweke tena Kenya kwenye mipango...
3 Reactions
19 Replies
618 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,913
Posts
49,845,372
Back
Top Bottom