Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema...
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
Kumekuwa na kero nyingi toka kwa TRA mkoa wa Iringa zinazooelekea migomo ya wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali na hata sisi wafanyabiashara wa mbao tuna mgomo.
Zifuatazo ni kero tunazokumbana...
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.