Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unakuta mtu mmeshazikunja na mtu anytime kina happen halafu anakuja mtu Kwa nyuma anakuvuta vuta mikono je ukipigwa ngumu ya ghafla na adui. Rafiki mzuri akikuona mnazipanga anatulia kwanza Mpaka...
2 Reactions
2 Replies
11 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
382 Replies
38K Views
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
16 Reactions
105 Replies
2K Views
Eti namtaka nimpeleke lunch anataka nimnunulie kwanza gauni jipya la mtoko! Mnatuwaziaje sisi wanaume lakini?
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
117K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema. Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa...
28 Reactions
665 Replies
39K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Imekuwa ni dhahiri kwamba wanasimba wengi hawana elimu ya hizi bilioni 20 na hivyo wana kila haki ya kuzihoji zilipo sababu hawana elimu. Kwa mantiki ndogo kabisa ukimuona ngombe wa bandani...
1 Reactions
8 Replies
45 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
41 Reactions
304 Replies
4K Views
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
5 Reactions
75 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,679
Posts
49,837,647
Back
Top Bottom