Utofauti wa Simba na Liverpool ni mmoja tu, Liverpool anacheza CHAMPIONS LEAGUE na Simba anacheza CONFEDERATIONS CUP ila zote zipo nafasi ya 3 katika ligi zao! ✍🏾
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Lemme start by saying mapenzi shikamooo......After that, am looking for a broken girl just to gimme a company.
I want someone to chat with, someone I can explain what happened to...
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao
Source Jambo TV
Yajayo yanafurahisha😀...
Huu uzi uwe wa kuwaumbua kwa ushahidi usio na mashaka wale wote wanaomtupia mawe Paul Makonda aliyejipambanua kama mtetezi wa wananchi wanyonge na pia kumpa maua yake, hivyo
Kama umewahi...
kwa mara nyingine tena Hospitali yetu ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila imefanikiwa kupandikiza uloto kwa wagonjwa mbalimbali walio fikishwa hapo, jambo hilo ni hatua kubwa kwa taaluma ya udaktari...
NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.