Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wasmitandao ya kijamii kujipatia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima Marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
23 Reactions
257 Replies
8K Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
104 Replies
1K Views
...tunaendelea Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa...
23 Reactions
64 Replies
2K Views
Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanaofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanaofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
52 Views
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
3 Reactions
46 Replies
427 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
8 Reactions
82 Replies
693 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana! Pamoja na kushambuliwa...
8 Reactions
72 Replies
646 Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
1 Reactions
4 Replies
56 Views
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
8 Reactions
215 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,750
Posts
49,840,129
Back
Top Bottom