Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kwanini mimi kila nikiona wasichana wenye makalio makubwa tentemente mate hunijaa sana mdomon na udenda wenye...
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizo onesha dhahiri shahiri ametoka kukiwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Habari
Kuna rafiki yangu amenifuata kunitaka ushauri juuu ya mke wake.
Anasema hivi "Nimegundua mke wangu ana namba mbili anawasiliana nazo mara nyingi sana kuliko hata za wazazi wake namba hizo...
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza
Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu
Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni...
Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani, rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump amefungua akaunti ya TikTok, ili kuwavutia wapiga kura vijana, na kufanya maandalizi kwa ajili ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.